Monday 17 March 2014

March 15,3years R.I.P Nate Dogg

Ni miaka mitatu (3) sasa imepita tangu dunia impoteze mwanamuziki kutoka Marekani, Nathaniel Dwayne Hale maarufu kama "Nate Dogg" aliyefariki mnamo (March 15, 2011) huko Long Beach, California nchini Marekani.

Nate Dogg alizaliwa (August 19, 1969) huko Clarksdale, Mississipi nchini Marekani. Pia Nate Dogg ni mmnoja wa wale marapa waliounda kundi la Dogg Pound miaka ya 1990's na kisha kuunda kundi la Death Law wakiwemo wakali kama Snoop Dog, Kurupt na Nate Dogg.

Nate Dogg alikuwa karibu sana na hawa rappers wa marekani katika kazi zake za kimuziki na maisha kwa ujumla Dr. Dre, Eminem, Warren G, Tupac Shakur, Westside Connection and Snoop Dogg ambaye alikuwa ni zaidi ya rafiki kwake. Nate Dogg miongoni mwa albam alizokwisha zitoa ni, G-Funk Classics, Vol. 1 & 2 in 1998, Music and Me in 2001 and Nate Dogg in 2003.

R.I.P Nate Dogg, we always missing you!!

No comments: