Wednesday 26 March 2014

Jay Z amdiss Drake kwenye freestyle ya "We made it"

Rapa mahili kutoka Marekani, Jay Z ameamua kumdiss mtu mzima Drake kupitia kwenye ngoma ya "We made it" ambayo ni Jay Electronica's freestyle. Diss hiyo inasemekana imekuja baada ya maneno aliyotoa Drake kwenye mahojiano yake na jarida la Rolling Stone, "It’s like Hov can’t drop bars these days without at least four art references. I would love to collect at some point, but I think the whole Rap/art world thing is getting kind of corny."...alisema Drake akiwa kwenye mahojihano hayo.
Na ndipo Jigga naye akaamua kumjibu Drake Drizzy kuhusu maneno hayo aliyoyatoa kwenye mahojihano na jarida la Rolling Stone; "Sorry Mr. Drizzy for so much art talk Silly me, rappin’ ’bout sh-t that I really bought While these rappers rap about guns that they ain’t shot And a bunch of other silly sh-t that they ain’t got!".
Je, issue hiyo itachochea kuwepo na bifu kati ya wakali hao??

No comments: