Tuesday 21 January 2014

Picha:Mtoto afanyiwa ukatiri kwa kutolewa macho na kuuliwa

Mtoto mwenye umri wa kukadiriwa ni chini ya miaka 6, amekutwa amefariki baada ya kufanyiwa kitendo cha kinyama na watu wasiojulikana....
Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii (Mdau Kibakuli Urasa) amesema wamekuta maiti ya mtoto huyo akiwa amekufa huku macho yake yamenyofolewa na watu wenye roho isiyo ya kibinadam kwenye maeneo ya kota za NHC - Majengo, Kahama.

No comments:

Post a Comment