Thursday 23 January 2014

Huddah:"I would gladly take Prezzo back,he is the best sex i ever had!"

Mrembo kutoka Kenya, HuddahMonroe maarufu kama THE BOSS LADY...ameweka wazi kuwa lazima atahakikisha kuwa anamrudisha Prezzo kwenye himaya yake kwa kuwa ni mwanaume mwenye kujua mapenzi hajawahi ona.
Maneno hayo ameyathibitisha kupitia account yake ya Twitter na kuonesha kuwa hana wasiwasi kabisa na mpenzi wake Prezzo wa sasa ambaye ni mrembo wa Kichaga kutoka Tanzania...mrembo huyo alizungumza shit baada ya kupigana chini na Prezzo na baadae aka'apologize kupitia ukurasa wake wa facebook kuwa hana tatizo na wala hamchukii Prezzo. Hii ikapelekea THE BOSS LADY "Huddahmonroe" kufunguka maneno hayo ya kuhakikisha anamrudisha Prezzo..."I would gladly to take Prezzo back because he had best sack action I ever experienced"
she would gladly take Prezzo back because he has the best sack action she ever experienced
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/entertainment/article/3857/huddah-prezzo-was-the-best-sex-i-ever-had

No comments:

Post a Comment