Monday 6 January 2014

Fahamu Ambulance ya kwanza 1487 kutumika duniani

Nadhani wengi wetu tunaifahamu ambulance kwa lugha ya kiswahili ni usafiri uliotumika kuwabebea wagonjwa na kuwawahisha mahali pa matibabu kama hospital na vituo mbalimbali vya afya. Hivyo usafiri huo waweza kuwa gari au hata pikpiki kana kwamba uwe na uwezo wa kumuwahisha mgonjwa sehemu ya matibabu.
Sasa huu ndio usafiri wa kwanza ulimwenguni uliotumika kusafirishia wagonjwa uliotumiwa na jeshi la Hispania enzi za utawala wa Malkia Isabella wa nchi hiyo. Usafiri huu ulitumika miaka ya 1480's kama njia mojawapo ya kuwawahisha wanajeshi waliokuwa wanatembea umbali mrefu ikiwemo kuvuka bara moja hadi bara lingine kwa shughuri za kijeshi.

No comments:

Post a Comment