Sunday 1 December 2013

Walichopost Mastaa mbalimbali kuhusu taarifa za kifo cha Walker

November 30, siku ya Jumaamosi inaweza ikawa ni moja ya siku zisizoweza kusahaulika kwani ni siku ambayo industry ya filamu nchini Marekani kupokea taarifa ya kifo cha Staa wa Filamu maarufu za Fast and Furious "Paul Walker".
Paul Walker amefariki siku ya jumaamosi kwa ajali ya gari akiwa anatokea kwenye Charity Event aliyokwenda kama mwakilishi....ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari hilo kushindwa kucontrol kutokana na mwendo mkali aliokuwa nao.

Taarifa hizi za kifo cha staa huyo ni pigo kubwa kwa wapenzi na wadau wa filamu hususani "Fast and Furious", ila imekuwa pigo kubwa sana kwa jamaa zake wakaribu waliokuwa wakiishi kama familia wakiwa kwenye utengenezaji wa filamu hizo za Fast and Furious kama Xzibit, Ludacriss, Tyrese, Van Diesel na wengine wengi bila kusahau na wanamuziki pia. Hivyo kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii baadhi ya marafiki wake wakaribu walipost status za majonzi sana na kuweka picha ya Paul Walker.

Ludacriss: "Your humble spirit was felt from the start, wherever you blessed your presence you always left a mark, we were like brothers & our birthdays are only 1 day apart, now You will forever hold a place in all of our hearts @paulwalker legacy will live on forever. R.I.P."
Tyrese: "My heart is hurting so bad no one can make me believe this is real Father God I pray that you send clarity over this cause I just don't understand My heart hurts it's broken no one can convince me that this is real.... Prayer warriors please pray real hard for his only child, his daughter and family... #HeartOfAnAngel13YrsFamilyForeverWeJustCelebreatedYour40thBirthday..... My God... My God... I can't believe I'm writing this"
 

Game: "Sad news about a dear friend. @PaulWalker, one of the best actors & for damn sure a great friend to me & I'm sure everyone else died today in a fiery car crash. This saddens me & is a definite reminder of how short life is. When I woke up this morning this is definitely not what I thought I'd have to post at some point during the day. My sincerest condolences & prayers are with his entire family...... A TRUE FRIEND was lost today & will be missed. Rest In Peace Paul............."
»Ariana Grande: What a tragedy. Cherish every moment with your friends, family & loved ones. You never know what could happen. Heartbreaking #RIPPaulWalker."

»Michael B. Jordan: "Man life is so short. People you care about can be here one min and gone the next. Don't take life for granted. RIP Paul Walker." 
»James Franco: "#paulwalker -- much love to Paul Walker. So sad. He gave a lot of joy."

»Zoe Saldana: "A very sad day indeed. R.I.P. Paul Walker. Our prayers are with you and your family."

»Amber Riley: "My condolences to Paul Walker's family. Rest in Peace."

»Bella Thorne: "Love and prayers to the family of Paul Walker."

No comments:

Post a Comment