Thursday 14 November 2013

Raj J aja na ngoma mpya akiwa na Darasa na Mavoco

Kama kawaida yetu tunapenda kuwaomba wadau wa ukurasa huu kutoa support hasa kwa wasanii wanaochipukia na wanauwezo wa kufanya vizuri kwenye game hii ya muziki wa nyumbani "BONGO"

Natumaini mnamkumbuka "RAJ J" kijana anayefanya vizuri hususani kwenye Hip Hop, alishafanya ngoma iliyoitwa "MUZIKI NA DILI" na aliwaomba wadau muisikilize na kuitazama kupitia ukurasa huu na blog yetu na kuweza kumsupport....hivyo kwa kuonesha kwamba bado akati tamaa na kazi anayoifanya, sasa ameamua kuja na ngoma mpya aliyoiita "INAWEZEKANA" aliyofanya na Darasa na Rich Mavocco chini ya studio za Seductive Records kwa mkono wa Mr. T-Touchiez na inatarajiwa kuachiwa baada ya wiki moja kuanzia sasa.

NB: "Anaomba support yenu"

No comments:

Post a Comment