Thursday 3 October 2013

Alichofanyiwa Diamond na Penny katika siku yake ya kuzaliwa

Kama unvyofahamu kuwa tarehe 02/10...ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mkali wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz. Hivyo kabla ya kufanya balaa za Happy Birthday na baadhi ya jamaa zake, mtu mzima Diamond alifanyiwa bonge la surprise na mpenzi wake Penny huku akiwa ameambatana na baadhi ya ndugu wa Diamond Platnumz. Penny alifanya balaa hilo ambalo lilimfanya Diamond astaajabu kwa kitendo hicho alichokifanya mpenzi wake huyo....

Sitaki mastoriiii moooob, jionee mwenyewe: 
Penny akimbusu Diamond
Kama kawa jamaa akarudisha
Mambo yote 9, 10 yakahamia chumbani sasa...ebana ni hatari, mtoto sijui kafundwa wapi aisee...maana izo nakshi nakshi hatari, za mfalme Mzee Yusuph anasubiri kwa kweli...maana ilo bed full ma'rose rose!
Mtoto wa Kigoma lazima akamatike chezea Penny wewe!!
Sasa kilichoendelea mimi binafsi sikukijua aisee...wanajua wao wenyewe kama waliishia kupiga picha tu bariiiida!!

No comments:

Post a Comment