Thursday 26 September 2013

Wilshere wa Arsenal apata mtoto

Mchezaji wa timu ya taifa ya England na club ya Arsenal, Jack Wilshere amepata mtoto wa kike aliyempa jina la Delilah Grace Wilshere....Jack Andrew Garry Wilshere, ambaye ni miongoni mwa wachezaji wenye umri mdogo, ana umri wa miaka 21, leo kupitia ukurasa wake wa facebook..mchezaji huyo amepost maneno ya kuonesha akiwa na furaha kwa kuweza kupata mtoto mwingine baada ya Archie Jack Wilshere aliyezaa na mkewe Lauren Neal Septemba 29, 2011.

No comments: