Monday 30 September 2013

Picha aliyopost Huddah wa Kenya

Kama umekuwa mfuatiliaji wa habari mbalimbali za kwenye mitandao ya kijamii utakuwa unamfahamu huyu mdada anayejiita Huddahmonrose...alianza kufahamika na wadau wa hapa Bongo baada ya kuingia bifu na mwanadada ambaye ni mtangazaji wa clouds fm, Divva Loveness Love kupitia mtandao wa Twitter baada ya kutupiana vijembe vya hapa na pale kwa kumgombania CMB Prezzo.

Pia mwanadada huyo alisharipotiwa na baaadhi ya vyombo vya habari kuwa ni miongoni mwa wanadada wenye kisu kirefu Afrika Mashariki.

Mbali na kuwa ni kawaida yake kupost picha za ajabu mtandaoni ila hii ya leo ni kiboko zaidi kwani kupitia mtandao wa Instagram mwanadada huyo ametupia picha iliyowashangaza wadau wengi hususani mashabiki wake kwa kile kisichoweza kujulikana kwa haraka kama ni picha iliyoonesha sehemu ya mwili wake (matako) au ni sehemu gani ya mwili wake.

TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA MWANADADA HUYO

No comments:

Post a Comment