Monday 30 September 2013

Mzigo wa Sumamnazaleti ukiwa jikoni

Ni kichupa kipya cha Suma Mnazaleti kikifanyiwa editing kikiwa katika hatua za mwisho mwisho kabisa kuingia mtaani... Kichupa hicho kimefanyiwa Afrika ya kusini kwa mujibu wa Suma mwenyewe kikiwa kinaonesha mandhari nzuri ya baadhi ya maeneo ya nchini humo. Ni kichupa cha wimbo wake mpya aliouita "UMECHELEWA", ambapo audio tayari ipo mtaani tangu mwanzoni mwa wiki hii.



No comments: