Thursday 19 September 2013

Gaucho arekebisha meno yake

Ni moja ya jambo lililoweza kumpa taabu sana kwenye maisha yake star huyo wa soka, Ronaldinho Gaucho kwani alikuwa anapata kejeri za kila namna ikiwa na kuchorwa katuni huku wakimkebehi kwa kuonesha meno yake yaliyochongoka kuja mbele na kutokuwa kwenye mpangilio maalumu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii inasadikiwa kuwa ametumia gharama za Pound 36,000 kwa ajili ya kutengeneza meno yake. KWELI PESA UFANYA MENGI!!

No comments:

Post a Comment