Sunday 22 September 2013

Basi lililobeba wasanii lapata ajali

Hii ndiyo picha ya basi lililobeba wasanii hao waliokuwa wanatoka Geita kuelekea uwanja wa ndege jijini Mwanza, kwa bahati mbaya wakapa ajali katika maeneo ya Buhongwa Msituni...
Kwa mujibu wa Izzo Bizness na Dayna Nyange waliokuwepo kwenye ajali hiyo wamesema wanashukuru Mungu kwa kuwa wametoka wakiwa salama isipokuwa PHILLIBERT KABAGO ameumia sehemu za usoni bembeni kidogo ya jicho baada ya vioo kumrukia na kumjeruhi.

No comments:

Post a Comment