Wednesday 11 September 2013

Atimaye Madee akamilisha ujenzi wa nyumba yake

Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection “Madee” ametoa shukrani zake kwa Mungu kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba yake iliyopo Mbezi ya Kimara,jijini Dar -Es-Salaam.
Msanii huyo alisema maneno haya na kupost hii picha kupitia Account yake ya twitter na kusema maneno haya:

No comments: