Wednesday 7 August 2013

Video:Rihana akizikatikia njemba

Kama umeshaziona baadhi ya picha za mwanadada huyu (Rihana) zilizozagaa kwenye baadhi ya websites na mitandao kadhaa ya kijamii akiwa nusu uchi huku akicheza kiasi cha kutojali....Sasa hii ndio video ya party hiyo iliyofanyika huko Carnival Parade huku akiwa anacheza na njemba.

2 comments: