Saturday 3 August 2013

Picha:Baadhi ya wasanii waungana kujenga kaburi la Bi Kidude

Baadhi ya wasanii wameungana na kuamua kutoa support katika ujenzi wa kaburi la aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu, Hayati Fatma Binti Baraka, maarufu kama Bi Kidude aliyefariki mwanzoni mwa mwaka huu (April, 17).
Hili limekuwa ni jambo zuri sana kama wasanii wa hapa nyumbani watakuwa na moyo kama huo wa kujitolea katika shughuri muhimu kama hizi na sio kuhudhuria mialiko tu ya kwenda kufuturu kwa Rais.

No comments:

Post a Comment