Pub maarufu ya jijini DSM inayomilikiwa na raia wa kigeni, Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach...jana (tar 28) iliteketea kwa moto baada ya kutokea shoti ya umeme iliyosababishwa na bomoa bomoa inayoendelea katika eneo hilo. Kwa mujibu wa chanzo chetu kimeripoti kuwa mbaka sasa mmiliki huyo wa Pub hiyo bado hajatoa tamko rasmi kuhusiana na tukio hilo.
Mmiliki wa Pub hiyo akipiga picha
PICHA KWA HISANI YA "THE SUPERSTARS TZ BLOG
No comments:
Post a Comment