Thursday 22 August 2013

Manaiki mzee wa totoz atiwa mikononi mwa polisi

Yule kijana aliyeripotiwa na baadhi ya mitandao ya kijamii ya hapa bongo kwa kupiga picha za utupu huku akiwa na baadhi ya warembo kwa nyakati tofauti, bwana Manaiki Sanga aliyedaiwa kuwa ni muigizaji wa Filamu za Bongo pia ni muigizaji toka kundi la Ze Comedy toka EATV, amenaswa na jeshi la polisi kanda ya DSM baada ya kufanya ufuska huo uliowastahajabisha wadau wengi wa sanaa na jamii nzima kwa ujumla kwa kitendo chake hicho kisichokuwa na maadili.

No comments:

Post a Comment