Monday 26 August 2013

Lil Wayne awaomba radhi mashabiki

Rapper Lil Wayne amewaomba radhi mashabiki wake kwa kupitia mtandao wa twitter kwa kutokuchaguliwa kwenye kugombea tuzo za MTV VMA's wala BET Awards kwa mwaka huu. Wayne ameamua kuandika status hiyo kuonesha kuwa bado anawajali mashabiki wake na wasihofu kutokumuona yeye kwenye tuzo hizo na ameahidi kuongeza juhudi kwenye muziki endapo ishu hiyo itamuua kimuziki.

No comments:

Post a Comment