Tuesday 6 August 2013

Kaa tayari kwa ngoma mpya ya Kalla Jeremiah

Mkali toka BSS, Kala Jeremiah baada ya kusumbua na vibao vikali kama Karibu Dar na Dear God sasa aja na ngoma nyingine kali aliyoiita "JARIBU KUJIULIZA" aliyotayarishwa na mtayalishaji Nahreel toka studio za Home Town Records aliyomshirikisha mwanadada Mary Lucos ambaye aliwahi shiriki BSS pia. Ngoma hiyo inatarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 14 mwezi huu, hivyo jamaa amewaomba sana wadau na wapenzi wake waipokee kama walivyoipokea Dear God na vibao vingine vilivyokuwa hot.

No comments:

Post a Comment