Wednesday 14 August 2013

Balotelli,Messi,Buffon uso kwa uso na Papa

Lionel Messi, Mario Balotelli, Buffon pamoja na baadhi ya wachezaji wa Argentina walipata nafasi ya kuonana face to face na Pope Francis kwenye moja ya kongamano lililofanyika nchini Italia.

No comments: