Leo The Islamic Foundation walijumuika na kutoa msaada wa matibabu ya bure huku Mwanza vijiiini. Dr Ally Akrabi ndio alikuwa kiongozi wa madaktari hao katika utoaji matibabu kwa wakazi wa eneo hilo.
Dr. Ally Akrabi
Dr. Ally Akrabi akihojiwa na TV Iman
Timu ya madaktari
No comments:
Post a Comment