Tuesday 16 July 2013

P-Funk aungana na Kajala kumtembelea mtoto wao

 P-Funk na Kajala wakiwa na binti wao, Paulitte
Japokuwa mapenzi yao yalishakufa kitambo sana kati ya mtayarishaji wa muziki, P-Funk a.k.a Majani na mwanadadashosti Kajala ambae ameamua kujikita kwenye uigizaji wa filamu za kibongo, lakini jana waliamua kwenda shule kwa mtoto wao na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

No comments:

Post a Comment