Sunday 21 July 2013

Okocha amshauri Yobo kutostaafu mapema timu ya Taifa

Jay Jay Okocha
Mchezaji wa timu ya Super Eagles, Austin Okocha maarufu kama Jay Jay Okocha, amesema angependa kumshauri mchezaji (Beki) wa timu hiyo ya Super Eagles pia mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Joseph Yobo kutostaafu mapema kwa kisa cha yeye (Yobo) kuwa na mtafaruku na kocha wa timu hiyo, Steven Keshi.
 Yobo na Keshi
Katika kujibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwenye moja ya kituo cha utangazaji cha Jijini Abuja, Nigeria kupitia sakata linaloendelea katika shirikisho la soka la Nigeria (NFF), mchezaji huyo wa zamani wa Bolton Wanderers, angepata fulsa hiyo asingeweza kustaafu mapema kwenye timu yake ya taifa kama alivyofanya na hivyo anapenda kumshauri Yobo kuendelea kuichezea timu yake ya taifa.

Pia Okocha alisanuka kuhusu sakata la Yobo na Keshi, alisema ni suala ambalo linaweza kusuluhishwa na kuendelea kama kawa na sio kuwa maadui badala ya kuwa marafiki... "Everybody has different approach to handling issues. I will be wrong to criticize the way Keshi is handling the issue. The only thing is we must try to be diplomatic about it and make friends instead of enemies."...“In football, issues must always come up positively or negatively but the way we handle it makes the difference. I think the issue between Keshi and Yobo was over hyped because it would have been settled behind the scene. We should not forget that at the end of the day, we all have one target of representing our country and giving our best to our nation.”...
Pia alisema...“I think Yobo should not retire because he will not have a second chance again to play for the national team if he quits. In fact, sometimes some of us think we retired even too early.So, once you have the opportunity to stick to the national team, my advice is for the person to remain no matter the magnitude of the problem,”.

No comments: