Tuesday 16 July 2013

Kichupa: Love Me - Izzo ft Barnaba & Shaa


Ni miongoni mwa vichupa vikali kabisa vilivyotoka hivi karibuni, pia imeweza kukubaliwa kuchezwa kwenye kituo cha Channel O cha nchini Afrika ya Kusini ikiwa ni kwa jitihada za mwanadadashosti Joket kwa mujibu wa Izzo mwenyewe kutoa shukrani zake kwa mwanadada huyo kwa mchango wake kuweza kupelekwa kwa video hiyo katika kituo hicho cha Afrika Kusini, Channel O.

Izzo jana asubuhi ali tweet na kumshukuru Jokate Mwegelo kwa kufanikisha kuipeleka Channel O "Hakika mungu mkubwa channel 0 wameipitisha video ya " Love Me " bado kuanza kuruka tu shukrani za dhati kwa @jokateM na watu wangu wote".

No comments:

Post a Comment