Sunday 21 July 2013

Hongera kaka kwa kutimiza mwaka mmoja wa ndoa

Hongera sana kaka Martin Johnson na mkeo kwa kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yenu isiyo na migogoro wala mitafaruku ya namna yoyote ile...

#TeamKibongobongo tunawatakia mafanikio mema na baraka tele kwenye maisha yenu ya ndoa, muendeleze amani mliyonayo na upendo wa familia yenu..hakika mungu atawabariki, Ameen!!

No comments:

Post a Comment