Saturday 27 July 2013

Haya ndio matokeo ya nani mkali kati ya B-12 na Sam Misago

Kama ulikuwa mfuatiliaji wa post zetu za kwenye ukurasa wetu wa facebook "Kibongobongo Blogspot", wiki iliyopita tulianza na kipengele cha "UNAMKUBALI NANI?", ni kipengele kipya kabisa kinachohusisha mastaa wa Bongo wanaofanya vizuri kwenye sanaa au shughuli yoyote inayowafanya waweze kufahamika. Pia tunawalinganisha mastaa hao hususani wale wanaofanya shughuli inayowiana...mfano Dj/Presenter, Mwana'Hip Hop kwa Mwana'Hip Hop, RnB singers kwa RnB singers, au Dancers kwa Dancers, Actors, Actress....hata wanasiasa.

Hivyo basi kwa wiki iliyopita tulianza na Presenters (watangazaji) ambapo tuliwashindanisha kati ya "B-12/Twangala/Dozen kutoka Clouds Fm, na "Sam Misago" kutoka Channel 5/EAT.
Na haya ndio matokeo ya kura kutoka kwa baadhi ya wadau waliochangia:
B12 - 35
SAM - 18
Zilizoharibika - 8
Jumla - 61

No comments:

Post a Comment