Kwa kile ambacho kinazidi ku'make headline BONGO, ni kwamba msanii
Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz, ameamua kufuturisha mwezi
huu mzima wa Ramadhani.....
Hivyo kwa mujibu wa chanzo cha habari hii kinasema kuwa kila ifikapo mida ya futuru, baasi jamaa wa karibu na msanii huyo wanatokea nyumbani kwake na kupata futuru.
Hivyo kwa mujibu wa chanzo cha habari hii kinasema kuwa kila ifikapo mida ya futuru, baasi jamaa wa karibu na msanii huyo wanatokea nyumbani kwake na kupata futuru.
"Kila la kheri kaka kama kweli unatoa hayo kwa moyo"
No comments:
Post a Comment