Sunday 21 July 2013

Bebe Cool asanuka kuwa na mtoto nje ya ndoa

Bebe Cool na Zuena
Msanii wa Uganda pia ni Bosi wa Gagamel Crew, Bebe Cool, amekili kuwa na mtoto nje ya ndoa mwenye umri wa miaka 17. Bebe Cool amesema mtoto huyo ambaye hakuzaa na mkewe wa ndoa, Zuena amekuwa akiishi nae tangu Novemba mwaka jana.

Bebe Cool na mkewe Zuena waliobahatika kupata watoto watatu, wamekuwa na amani katika ndoa yao japokuwa wanaishi na mtoto huyo wakufikia. Bebe Cool alisema..."Zuena is so cool with it, and our couple stayed with the boy since November last year"

No comments: