Monday 13 May 2013

Joe Makini aendesha zoezi la umwagiliaji miti UDOM

Makini akimwagilia
Joe Makini, Dj Choka na baadhi ya 
team ya utunzaji mazingira chuoni hapo
Mwanamuziki wa Hip Hop Joe Makini leo ameshiriki kwenye zoezi la kumwagilia miti iliyopandwa katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Makini akiwa na Dj Choka wamefanya zoezi hilo la umwagiliaji katika harakati za utunzaji wa mazingira chuoni hapo.

PICHA: Kwa hisani ya mdau, MSOUTH KATO

No comments: