Friday 3 May 2013

Jamaa ajitupa toka ghorofa ya 9 @ Kariakoo

Mfanyabiashara wa soko la Kariakoo aliyefahamika kwa jina la Shirima amekutwa amelala baada ya kujitupa toka ghorofa ya tisa ya hotel ya Concord iliyopo maeneo hayo ya Kariakoo...Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema hajajua sababu zilizopelekea bwana Shirima kujitupa.
Maumivu ya bwana Shirima hasa yametokana na kuangukia gari iliyokuwa imepaki nje ya hotel hiyo...Hadi sasa haijafahamika kwa jamaa anaendeleaje kwa maana baada ya tukio hilo amewahishwa hospital...

No comments: