Friday 3 May 2013

Dj Mono kutoka Uganda afariki dunia

Dj Mono kutoka nchini Uganda amefariki dunia jana May 2 huko nchini India alipoenda kwa ajili ya matibabu dhida ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Amen!!

No comments: