Monday 6 May 2013

Alichokizungumza Ruge hiki hapa

HAYA NI BAADHI YA MANENO ALIYOTAMKA RUGE KWENYE MAHOJIANO YAKE LEO ASUBUHI KUPITIA KIPINDI CHA POWER BREAKFAST:
Hapa namnukuu..."nachoweza kusema ni kwamba mwanadada bunduki na mizinga yake kaeelekezea siko, atafute njia sahihi ya vita yake,...kushuka kwa nyumbani lounge ni Skylight band hilo liko wazi...RUGE na nyumbani Lounge wap na wap, Clouds na nyumbani lounge wap na wap au Kusaga kama anaendaga na mimi nisijue....."
Pia ameongezea..."opportunities zipo tena nyingi saaana kwanini tusizifanye tunakaa kulaumu fulanu....narudi kulekule unapokuwa na jina tumia opportunity hiyo....."

Mwisho kabisa amemaliza na kusema...."na Leo hakuna kupiga bongo fleva vipindi vyote....Seba Leo hakuna bongofleva....mimi nasema kama boss, eeeh si radio yetu hatupangiwi na mtu..."

Hayo ni baadhi ya maneno aliyoyatoa RUGE boss huyo wa clouds media dhidi ya tamko la Lady Jay Dee, May 1
Isikilize hapa:

No comments:

Post a Comment