Wednesday 24 April 2013

Tyson ajifananisha na Suarez

Baada ya kitendo alichokifanya mchezaji wa Liverpool Luis Suarez chakumng'ata mchezaji wa Chelsea Branislav Ivanovic kwenye mechi iliyofanyika jumapili iliyopita kati ya wakali hao wa bara la ulaya kukitifua nakutoka suluu ya mabao 2-2. Mike Tyson aliyewahi kuwa bingwa wa ngumi za kulipwa duniani kwa miaka ya nyuma (1990's) amekifananisha kitendo hicho alichokifanya Suarez na kitendo alichowahi kukifanya yeye kwenye ulingo akipambana na Evander Holyfield na kumng'ata sikio.
Suarez vs Ivanovic    Tyson vs Evander
Tukio hilo lililotokea mnamo mwaka 1997, lilimjengea umaarufu bingwa huyo wa ndondi kwa kuweza kuwafanya wafanyabihashara wakizungu kutengeneza chocolate zenye taswira ya sikio lililong'atwa na kuweza kupiga pesa nyingi kwa wafanyabihashara hao, pia tukio hilo lilimfanya bingwa huyo kupoteza  points zilizompelekea kunyimwa ushindi.

Tyson amekiambia kituo cha radio cha Marekani kupitia kipindi cha David Glenn radio show  kuwa anatumai kuwa Suarez ame'apologise kwa kitendo alichokifanya na kuweza kuweka mambo sawa dhidi ya Ivanovic, sababu hata yeye alifanya hivyo kwa Evander na kufanya maisha yaendelee.

Tyson said: " I saw this guy on the Twitter thing and thought I would check it out and see what his journey was all about....." pia mesema; "you know, he bit somebody, you know S*** happens, you know what I mean? I'm sure he made amends with his guy. I made amends with Evander and we go on with our lives."
Kwa mujibu wa Albert Luque mchezaji mwenzake wakiwa wanachezea timu ya AJAX amesema: He is a good guy, and we all make mistakes..."He was quiet in the dressing room and kept to himself, but when he gets onto the pitch he is transformed...."He fights for everything, he's very physical, and what happened with Ivanovic was unfortunate, but I'm sure he didn't do it with any bad intentions or in bad faith..."We know Luis is capable of doing anything to win a game and sometimes he does things in the heat of the moment, but he is the type of player I'd always want in my team....."In the Premier League everything is exaggerated a lot and perhaps this is getting more coverage because it's not the first time something like this has happened to Luis," 
pia aliongeza kuwa; "There's no need to give more importance to it. He has said sorry and that's for the better. It is just an anecdote."

Suarez amesema tayari Ivanovic amekubali ombi la msamaha alioutoa kwake, japokuwa kuna wanaosema kuwa haikuwa ishu saana.

No comments:

Post a Comment