Tuesday 16 April 2013

new video: Nassa - Nimeyataka


Hiki ni kichupa kipya cha jamaa anayeiwakirisha Moro-Town kukiachia baada ya kuachia vichupa kadhaa na kufanya vizuri kwenye baadhi medias. Baadhi ya vichupa alivyotoa mtu mzima Nassa ni pamoja na Nivumilie, Mastaa na Kila nabii ambavyo vimefanikiwa kufanya vizuri.

No comments: