Wednesday 17 April 2013

alichosema wema baada ya skendo ya kurekodiwa na diamond

Baada ya kusikika skendo ya kuwa Wema amebembeleza penzi kwa Diamond ili warudiane kwa njia ya simu, na kurekodiwa. Kisha Diamond kuamua kuiweka hadharani kwa kuitupia kwenye baadhi ya mitandao na vyombo vya habari. Issue hiyo imemfanya dada Sepetu aamue kusanuka kupitia mtandao wa Instagram na kuandika ya moyoni.

No comments:

Post a Comment