Tuesday 16 April 2013

ajali iliyosababisha foleni ya masaa mawili

Baada ya ajali iliyotokea siku tatu zilizopita, jana katika harakari za kutoa kontena lililoanguka maeneo ya IYOVYA Iringa kwenye kona kali gari zilishindwa kwenda wala kurudi takribani masaa mawili....

Ndipo likaletwa gari kwaajili ya kutoa macontena yaliyodondoka na kuziba njia, macontena hayo yameharibu barabara kwa kiasi kikubwa na kuiingizia nchi gharama nyingine katika ujenzi wa barabara hiyo katika maeneo hayo ya IYOVYA mkoani Iringa. 

PICHA NA MDAU JAMES KIBASA - IRINGA

No comments: