Tuesday 12 March 2013

P-square watanua biashara

Wakali kutoka Nigeria waliotamba na vibao kama "No one like you","Ifunanya","Do me","I like it" na vibao vya hivi karibuni kama "Chop my money", "Beautiful Onyenye" na "Aringo" Peter na Paul Okoye (P Square). Baada ya kupiga pesa zilizoweza ongeza kiasi kikubwa cha account zao, sasa waamua kutanua biashara kwa kuingia'joint venture na biashara ya mafuta. P square wamesign mikataba tayari kwahiyo "hustlering za kumake money zinaendelea kama kawa".

Peter Okoye, miongoni mwa wakali hao alipost kupitia instagram na kuweka status iliyosema, “Hustle must continue….Oil business tinz”. Alipost tena na status, “More business #oilsector”.

No comments:

Post a Comment