Wednesday 27 February 2013

picha zilizo'editiwa na kuleta picha halisi

 Ni miongoni mwa picha zilizoeditiwa na wale vijana wanaoweza zichezea picha mbalimbali na kuweza kuleta maana nzuri kana kwamba kwa mtu mwenye uelewa mdogo anaweza hasijue kama ni picha ya kuedit.
Hii ndio picha iliyoeditiwa ikimuonesha mchungaji Mwasapile akitoa tiba kwa Obama
Hii ndio picha halisi ambayo inamuonesha mchungaji Mwasapile akigawa tiba

No comments:

Post a Comment