Wednesday 27 February 2013

ajali mbaya mkoani iringa

Ni ajali iliyotokea juzi (tarehe 24) majira ya saa kumi na moja asubuhi maeneo ya maktaba kuu mkoani Iringa. Kwa mujibu wa mdau aliyenitumia hii picha amesema hakuna mtu aliyeumia kana kwamba gari zote mbili zimeumia vibaya sana.
Picha na taarifa kwa hisani ya mdau wa blog hii Mr. Talib Asas kutoka Iringa

No comments: