Tuesday 8 January 2013

kinara wa mchiriku afariki dunia

Marehemu Omary Omary
Taarifa tulizozipata ivi punde: Msanii wa muziki wa mchiriku hapa nchini Tanzania maarufu kama Omari Omari amefariki dunia leo...
Akielezea kifo cha msanii huyo, Mkubwa Fella ambaye ni jirani yake amesema marehemu Omari Omari alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua...
Marehemu Omari Omari aliwahi kutamba sana na wimbo wake wa mchiriku ulioitwa ''Kupata ni majaaliwa''... 
Mungu ailaze nafsi yake mahala pema peponi, aamin!

source: Zidane Tanzi

No comments: