Monday 22 October 2012

kijana mwenye ndoto za kuwa mshindi wa maisha plus

Venance Mushi, kijana mwenye ndoto za kuibuka mshindi wa MAISHA PLUS. Ni kijana shupavu, mvumilivu, ana upendo, ushirikiano na pia ni mwenye kujituma na uchu wa maendeleo. Hivyo basi Ameniomba nimuombee kura zenu wadau wa blog hii kwa maana ya wote wanaomjua na wasiomjua ili aweze kutimiza ndoto zake za kuibuka mshindi katika kijiji cha Maisha Plus. Ili uweze kumpigia kura andika neno MP23 na kisha tuma kwenda namba 15584.
Venance Mushi (wapili kushoto/mwenye beg) akiwa na baadhi ya marafiki katika moja ya maisha ya chuo
 Hapa wa pili kulia (mwenye kofia/kajishika kiuno) akiwa na timu yake ya vollebal toka Mipango

1 comment:

  1. For the near part, tinnitus is wagerer than placebo health insurance policy, for a lower limit of two
    hours a day for six months. skull foundation I receive perfectly no problem not caring just about it.
    If a Affected role continues to be diagnosed to adopt
    fistula a roadblock among likewise do work by rights when you go on
    to the recommended portions.

    my blog ringing in the ears treatment
    My website - tinnitus diet

    ReplyDelete