Saturday 11 August 2012

yaliyojili kwenye fainali ya dance 100%

baada ya lile shindano la kuwasaka wakali wa kudance toka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam linalofahamika kwa jina la DANCE 100% , lililozaminiwa na kuandaliwa na EATV hapo jana lilifikia tamati baada ya kundi la T-AFRIKA kunyakuwa miloni 5 kama zawadi kwa atakayeshinda mchakato huo. Shindano lilianza likishirikisha wakali zaidi ya makundi 20 na kufanywa mchujo hadi kufikia nusu fainali ya makundi saba na hatimae makundi matano kuzama fainali. Makundi yaliyobahatika kuzama fainali ni: FBI, Best Friends, TZ Queens, The Chocolate and T-Africa.....
 T-AFRICA (washindi) wakihojiwa
 T-AFRICA wakidance
wadau wakijisogeza
 Allen wa skonga kama kawa
 T QUEENS wakihojiwa na SAIGON
 BEST FRIEND wakihojiwa
 MC Saigon
 Richie Mavoco nae ndani
 wadau wakiuchek mtanange huo
 Cameraman nae akionesha mambo yake
 
makundi yalipopata nafasi ya kutupia mbwembwe zao
 Hemed Kavu(HK) nae kama kawa
 majaji - Nyamwela, Lotus na Dully
haya ndio makundi yaliyofanikiwa kuzama fainali

No comments: