Friday 17 August 2012

ujio mpya wa 4stars club-moro

Baada ya kufungwa matengenezo na kwa sababu za mfungo wa ramadhani, club maarufu ya mjini morogoro, sasa inakuja kwa style mpya kabisa. Kwa ngoma na disco la kijanja chini ya crazy dj Godo, Dj Issa na wakali wengine kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaao kwa nauli ya 10,000/= tu

No comments:

Post a Comment