Saturday 4 August 2012

roma apata ajali leo akielekea moro

msanii wa kizazi kipya kwenye bongo hip hop ROMA leo 
mchana amepata ajali mbaya akielekea Morogoro.
 Roma alisema alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida 
ndipo tairi la mbele lilipopata pancha na gari likaacha 
njia yake na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso 
ambalo lilikuwa upande wa pili na gari hilo dogo alilokuwa
 akiendesha Roma kurudi lilipotokea.
(chanzo cha habari)"Roma ananiambia yeye na aliokuwa
 nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima".
Roma akimwelezea police wa usalama barabarani 
kilichotokea mpaka kupata ajali hiyo.
 Huyu ni mmoja kati ya marafiki wa Roma aliyekuwa 
nae kwenye gari wakielekea Morogoro kwenye show

No comments: