Sunday 26 August 2012

mjue matonya yule rais wa ombaomba tz

Jina lake halisi ni Paulo Mawezi, Matonya ni la utotoni
Ni mume wa wake watatu
Ni baba wa watoto wawili, Elizabeth na Ernest
Aliishi Kilimatinde, Singida miaka 30 iliyopita
Sasa ni mkazi wa Bahi Sokoni, Dodoma
Alianza 'kazi' ya ombaomba kabla ya uhuru
Hukusanya kati ya sh 4000 na 7000 kwa siku
Alitoroka kambini Moro, akapandishwa kizimbani
Kuila Krisimas 2010 jijini Dar es Salaam 
anajulikana kwa kazi hiyo ya kuomba kwa muda
wa takribani miaka 50 iliyopita, wengi wanamjua
kwa style yake ya kuomba mara alale chali
akae kwa kunyoosha miguu mara aweke mikono
juu, yaani anastyle zaidi ya saba.

No comments:

Post a Comment