 Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu  Morogoro.aliye 
pigwa risasi na Polisi katika  maandamano ya chadema

 Kijana Frank Valimba Akionyesha baadhi ya  Majeraha aliyojeruhiwa na Askari Polisi wakati wa Maandamano ya chama  cha CHADEMA mkoani Morogoro.
 Kijana Frank Valimba Akionyesha baadhi ya  Majeraha aliyojeruhiwa na Askari Polisi wakati wa Maandamano ya chama  cha CHADEMA mkoani Morogoro.

Mjini Morogoro kumetokea fujo kati ya Polisi na  Wanachama wa Chadema na kupelekea kwa tuhuma za jeshi hilo kudaiwa kuwa  walimfyatulia risasi na kumuua kijana mmoja aliyejulikana kwa Jina la  Ally Shana.
Fujo hizo kati ya wafuasi hao wa chadema na Polisi, inasemekana zilisababishwa na Wafuasi hao kuyafanya Maandamano yao bila kuwa na kibali kutoka Polisi mkoani hapa, na ndipo Jeshi hilo likachukua hatua ili kuhakikisha hayafanyiki.

Hapa ndipo mkutano ulipofanyikia katika viwanja vya 
Kiwanjacha ndege - Morogoro

Jinsi mambo yalivyokuwa kwenye maandamano hayo 
mkoani Morogoro 
 
No comments:
Post a Comment