Wednesday 22 August 2012

alexander song sasa atua barcelona

Baada ya RVP kuvunjika mpini, sasa jembe lingine lililong'oka Arsenal sasa latua rasmi Barca na kupewa jezi namba 25. Ni kilio kingine chaikumba Arsenal kwani ni miongoni mwa majembe yaliyokuwa yakiikamirisha ipasavyo timu hiyo. Kwasasa Arsene Wenga anawakati mgumu kuhakikisha kikosi chake kinaimarika kwa kufanya usaili mzuri.
Hizi ni baadhi ya picha baada ya Song kutua Barca:

No comments:

Post a Comment