Thursday 5 July 2012

FROM ZERO TO HELLO

 
 Ni mwanamuziki aliyejijengea historia kupitia kipaji 
alichonachoalianza kuimba akiwa shule ya msingi 
(miaka 12)hadi sasa anamashabiki lukiki walio 
ndani na nje ya TZ,namzungumzia Abednago Damian
 a.k.a Belle 9 a.k.a DCM (Dangerous Corus Maker)
kwasasa anatamba na ngoma mpya akiwa na Ben Pol
inayoitwa ANAYEISHI NAE iliyofanywa na 
Producer Mona Gangster ndani ya studio 
ya classic sound

No comments:

Post a Comment