Saturday 19 May 2012

YALIYOJILI MISS HIGHER LEARNING 2012 - DODOMA @ KILIMANI HALL

Redds Miss Higher learning 2011 Jackline Kinabo 
(aliyekaa) ambae amemaliza muda wake akiwa 
tayari kumvalisha taji Mshindi wa Miss Redds 
Higher Learning 2012 katika ukumbi wa 
kilimani usiku wa kuamkia jan May 18
Mshindi wa Taji la Redds Miss Higher Learning 
Dodoma Mwaka 2012 Virginia Mokili (Katikakati) 
akiwa katika Picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili 
wa Taji hilo Jenipher Mafuru (Wa Kwanza Kulia) 
na Mshindi wa tatu Lilian Maleo (Kushoto)
 mara baada ya Shindano Kumalizika
Washiriki walioshiriki Katika Shindano la Kumsaka 
Kimwana Wa Redds Elimu Ya Juu Kanda ya Dodoma
 wakiwa katika Picha Ya Pamoja
Baadhi ya Washiriki walipokua wakipita Jukwaani
 Kuonyesha Mavazi yao
 Jaji Mkuu wa Shindano la Kumsaka Mlimbwende 
wa Redds Elimu ya Juu Kanda ya Dodoma akisoma 
Majina ya Washiriki waliingia Hatua ya Tano Bora
Warembo waliofanikiwa kuingia katika tano 
bora wakiwa katika Picha ya Pamoja
Mmoja wa washiriki kutoka Chuo cha Mipango alipokua 
Akichagua swali tayari kwa kulijibu
 Meza ya Majaji wakiwa makini na Zoezi 
zima la kutafuta Mshindi
Barnaba Akitoa Burudani katika shindano hilo la
 Redds Miss Higher Learning Kanda ya Dodoma 2012 
katika Ukumbi wa Kilimani Usiku wa Kuamkia leo
Afisa Utamaduni Wa Manispaa ya  Dodoma Mh Kishosha 
akimkabidhi Zawadi Mshindi wa Kwanza wa 
Taji la Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012 
Virginia Mokiri Mara Baada ya Kuibuka Mshindi
Mshindi wa Pili wa Taji la Redds Miss Higher Learning
 Dodoma 2012 Jennipher Mafuru akipokea Zawadi 
zake Kutoka Kwa Afisa Utamaduni wa 
Manispaa ya Dodoma Mh Kishosha
Mshindi wa tatu wa taji la Redds Miss Higher Learning
 Dodoma 2012 Lilian Maleo akipokea zawadi ya 
King'amuzi kutoka Kampuni ya Star Time
akikabidhiwa na Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Dodoma
Walimbwende wakitoa burudani kwa mashabiki na 
watazamaji waliokuja kushuhudia ni nani 
atakayekuwa Redds Miss Higher Learning Dodoma 2012
 Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia
 nani ataibuka mshindi wa taji hilo
Washindi wa kwanza hadi watatu wa Taji la Miss 
Higher Learning Dodoma 2012 wakiwa 
katika picha ya pamoja na baadhi ya 
wadhamini wa shindano hilo.
PICHA KWA HISANI YA LUKAZA BLOG

No comments:

Post a Comment